Courses Catalogue

Introduction To The Theory And Practice Of Translation

COURSE CODE: KIS3102
COURSE CREDIT UNIT: 3
ACADEMIC PROGRAMME: Arts (Primary), B.Ed
COLLEGE/SCHOOL/FACULTY: College of Education, Open and Distance Learning
STATUS: Elective
PROGRAMME TYPE: Undergraduate

Course Content and Outline

Utangulizi

 • Maana ya tafsiri
 • Dhima ya tafsiri

Shabaha ya tafsiri

 • Kipambo kishairi
 • Kiethnografia
 • Kiisimu
 • kipragmatiki

Nadharia ya tafsiri

 • Sababu za kuanzishwa kwa nadharia ya tafsiri
 • Taaluma zinazohusiana na nadharia ya tafsiri
 •   Dhana  na dhima ya nadharia ya tafsiri

Historia ya tafsiri

 • Sifa za tafsiri nzuri
 • Aina za tafsiri
 • Tafsiri sisisi
 • Tafsiri ya neno kwa neno
 • Tafsiri ya kisemantiki
 •  Tafsiri ya kimawasiliano

Uchambuzi wa matini ya tafsiri

 • Kusoma matini nzima
 • Kubaini lengo la matini
 • Kubaini lengo la mtafsiri
 • Kubaini wasomaji lengwa
 • Kubaini mtindo wa matini chanzi
 • Kubaini ubora na mamlaka  ya matini chanzi
 • Kusoma matini mara ya mwisho

Mchakato wa kutafsiri

 • Maandalizi
 • Uchambuzi
 • Uhawilishaji
 • Rasimu ya kwanza
 • Udurusu wa rasimu ya kwanza
 • Kusomwa kwa rasimu ya kwanza na mtu mwingine
 • rasimu ya mwisho
 • Shida zinazokumba tafsiri
 • Tafsiri na utamaduni
 • Tafsiri ya matini za sayansi na teknolojia
 • Tafsiri ya fasihi
 • Tafsiri ya bibilia